Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia, Erick Bruno
(30) kwa tuhuma za kumnyonga hadi kufa mpenzi wake, Daja Dungu (35)
wakati walipokuwa kwenye nyumba ya kulala wageni (jina tunalo) Manispaa
ya Morogoro.
Akizungumzia
kutokea kwa tukio hlo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard
Paul, alisema tukio hilo lilitokea Februari 23, mwaka huu saa 6.30 usiku
katika karakana ya
↧