Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Mwanamke Atiwa Mbaroni Akiuza Binadamu Kwa Ajili la Zindiko la Utajiri

$
0
0
JESHI la Polisi mkoani Ruvuma linamshikilia mwanamke mmoja, Sophia Chambo (30), mkazi wa Mtaa wa Polisi, Kata ya Lizaboni Manispaaya Songea, akituhumiwa kujihusisha na biashara ya kuuza binadamu kwa wafanyabiashara kwa ajili ya zindiko.   Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi mkoani Ruvuma,Mihayo Msikhela, alisema Februari 17, mwaka huu saa nane mchana,

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>