Urais 2015: Wana CCM Waanza Kushikana Uchawi.....Wadai kuwa Jukumu la Kupata...
Wakati CCM kikijiandaa kuanza mchakato wa kupitisha jina la mgombea wake wa nafasi ya urais katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu, imeelezwa kwamba hali si shwari ndani ya...
View ArticleMwanajeshi Mwingine wa JKT ambaye ni Katibu wa Vijana wa JTK Waliotaka...
KATIBU wa vijana waliopata mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) waliokuwa wakiandamana kushinikiza Serikali kuwapatia ajira, Rinus Emmanuel amekamatwa jijini Dar es Salaam. Hatua hiyo imekuja...
View ArticleJumuiya ya Serikali za Mitaa (ALAT) Shinyanga Yatangaza Kumuunga Mkono Edward...
Vuguvugu la kumuomba kugombea urais aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania, Edward Lowassa, linaendelea kupamba moto baada ya wenyeviti wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa nchini (ALAT) mkoani Shinyanga...
View ArticleMbizo za Urais 2015: Mbowe atembeza BAKULI kwa ajili ya Kuingia...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ametangaza mpango maalumu wa wapenzi na wanachama wa chama hicho kuchangia Sh10,000 kwa mwezi ili kupata fedha za kutosha kukiendesha chama ikwa lengo la kuiondoa...
View ArticlePicha: Vanessa Mdee na Jux wadhihirisha mahaba mazito Afrika Kusini
Vanessa Mdee na Jux wote wapo nchini Afrika Kusini walikoenda kufanya video ambayo hata hivyo hawajasema ni ya wimbo gani na kwa mujibu wa picha wanazopost kwenye mitandao ya kijamii, wawili hao...
View ArticlePicha: Studio binafsi ya Millard Ayo yashtua wengi
Mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo na mshindi wa vipengele viwili kwenye Tuzo za Watu mwaka jana ni mtu wa mambo ya kimya kimya ndio maana picha ya studio aliyokuwa akiijenga nyumbaji kwake kwa...
View ArticleChege akanusha kuvaa hirizi kwenye picha iliyozagaa mtandaoni
Chege Chigunda amekanusha vikali tuhuma zilizotokana na kusambaa kwa picha akiwa jukwaani na huku mkononi mwake (karibuni na kwapa) akiwa na kitambaa cheusi ambacho baadhi ya watu wanahisi ni hirizi....
View ArticleMke Wa Mbunge (Sugu) Afunguka: Kuitwa Mama Kuna Raha Yake.....Natamani Nizae...
Mwigizaji wa filamu mwenye vituko vya aina yake, Faiza Ally ambae ni mama wa mtoto moja, aliezaa na Mbunge wasasa wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' ameyasema hayo akiwa visiwani Zanzibar kwenye...
View ArticleMaandalizi Hafifu Chanzo cha Udanganyifu wa Mitihani
Maandalizi hafifu ya watahiniwa wa mitihani kwa ngazi zote ndio chanzo kikubwa cha kuwapo udanganyifu katika mitihani ya mwisho. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Idara ya Fedha na Utawala wa Baraza la...
View ArticleWatanzania sasa Kupatiwa Viza Huko Huko India
Wasafiri kutoka Tanzania kwenda India kwa shughuli za matibabu na biashara wataruhusiwa kupata visa wafikapo nchini humo. Hayo yalisemwa na Balozi wa India nchini, Debnath Shaw wakati akijibu...
View ArticleChenge, Tibaijuka Kikaangoni Baraza la Maadili Wiki hii
Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge Jumatano atasimama mbele ya Baraza la Maadili kujibu tuhuma za kukiuka maadili ya uongozi na kujipatia Sh bilioni 1.6 ambazo aligawiwa kutoka katika fedha za...
View ArticleRadi Yaua Mwalimu na Wanafunzi 6 Kigoma
Watu saba wakiwamo wanafunzi sita wa darasa la nne katika shule ya msingi Nyakasanda na Mwalimu wa shule hiyo, Anderson Kibada wamekufa baada ya kupigwa na radi huku watu wengine 11 akiwemo Mwalimu...
View ArticleTaarifa Rasmi ya Jeshi la Polisi Kuhusiana na Sakata la Kutekwa kwa Wanajeshi...
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia vijana watano wa kundi la wahitimu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa tuhuma za kufanya uchochezi na kufanya mikusanyiko isiyo halali...
View ArticleAlbino Wawaliza Maaskofu 10 na Mashehe 10 Katika Hospitali ya Bugando
Viongozi wa madhehebu ya dini jijini Mwanza, wakiwamo Maaskofu na Mashehe jana walijikuta wakibubujikwa na machozi baada ya kumtembelea Ester John, ambaye amelazwa Hospitali ya Rufaa ya Bugando. Ester...
View ArticleCHADEMA Yaigaragaza CCM Sumbawanga
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeigaragaza vibaya CCM katika uchaguzi wa marudio wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana katika kata tatu za Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa. Chadema...
View ArticleUboreshaji wa Daftari la Wapigakura: Mashine za BVR zagoma tena Makambako
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa kutumia mfumo mpya wa kielekroniki umeingia dosari baada ya baadhi ya mashine zinazotumika kwa ajili ya kazi hiyo kushindwa kufanya kazi. Kazi hiyo...
View ArticleTaswira za Mzishi ya Msanii Mez B Yaliyofanyika Jana Mkoani Dodoma
MAMIA ya mashabiki na wasanii wa muziki wa kizazi kipya, jana walijitokeza kuupumzisha mwili wa msanii, Moses Bushangama ‘Mez B’, katika makaburi ya Wahanga wa Treni, Mailimbili mkoani Dodoma....
View ArticleJoyce Kiria Adaiwa Milioni 500 kama Fidia ya Kumdhalilisha Mbunge Kupitia...
Mtangazaji wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria amepokea samansi ya mashtaka kutoka kwa Mbunge wa Jimbo la Dimani, Zanzibar, Abdallah Sharia Ameir (CCM) ambaye amedai amlipe fidia ya...
View ArticleMwanamke Atiwa Mbaroni Akiuza Binadamu Kwa Ajili la Zindiko la Utajiri
JESHI la Polisi mkoani Ruvuma linamshikilia mwanamke mmoja, Sophia Chambo (30), mkazi wa Mtaa wa Polisi, Kata ya Lizaboni Manispaaya Songea, akituhumiwa kujihusisha na biashara ya kuuza binadamu kwa...
View ArticleMwanamke Anyongwa hadi Kufa na Mpenzi wake Usiku wa Manane Wakiwa Gesti
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia, Erick Bruno (30) kwa tuhuma za kumnyonga hadi kufa mpenzi wake, Daja Dungu (35) wakati walipokuwa kwenye nyumba ya kulala wageni (jina tunalo) Manispaa...
View Article