KATIBU wa vijana waliopata mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)
waliokuwa wakiandamana kushinikiza Serikali kuwapatia ajira, Rinus
Emmanuel amekamatwa jijini Dar es Salaam.
Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya Mwenyekiti wao George Mgoba,
kutekwa wiki iliyopita na kisha kupigwa na kuteswa na watu
wasiojulikana.
Hata hivyo Mgoba alihamishwa kutoka Hospitali ya Amana,
↧