Vuguvugu la kumuomba kugombea urais aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania, Edward Lowassa, linaendelea kupamba moto baada ya wenyeviti wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa nchini (ALAT) mkoani Shinyanga kumtaka atangaze rasmi nia ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akitoa ombi hilo mbele ya waandishi wa habari juzi mjini Shinyanga kwa niaba ya wenyeviti wenzake wa halmashauri za
↧