Wakati CCM kikijiandaa kuanza mchakato wa kupitisha jina la mgombea wake wa nafasi ya urais katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu, imeelezwa kwamba hali si shwari ndani ya chama hicho kutokana na kile kinachodaiwa, mkakati wa baadhi ya viongozi kubeba na kukumbatia watu wao kwa lengo la kulinda masilahi binafsi.
Chanzo chetu cha kuaminika kutoka ndani ya CCM
↧