Maandalizi hafifu ya watahiniwa wa mitihani kwa ngazi zote ndio chanzo kikubwa cha kuwapo udanganyifu katika mitihani ya mwisho.
Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Idara ya Fedha na Utawala wa Baraza la Mitihani ya Tanzania (Necta), Daniel Mafie aliyekuwa akizungumzia mafanikio ya baraza hilo kwa niaba ya Katibu Mtendaji.
Alisema pamoja na kupungua kwa watahiniwa wanaofanya udanganyifu
↧