Chege Chigunda amekanusha vikali tuhuma zilizotokana na kusambaa kwa
picha akiwa jukwaani na huku mkononi mwake (karibuni na kwapa) akiwa na
kitambaa cheusi ambacho baadhi ya watu wanahisi ni hirizi.
Mtu wa kwanza kuikuza picha hiyo na kuandika kuwa ana mashaka kuwa kitambaa hicho huenda kikawa hirizi, ni Maimartha Jesse.
“Angalia mkono wa kushoto wa chegge @chegechigunda hiiii ni
↧