Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge Jumatano atasimama mbele ya Baraza la Maadili kujibu tuhuma za kukiuka maadili ya uongozi na kujipatia Sh bilioni 1.6 ambazo aligawiwa kutoka katika fedha za akaunti ya Tegeta Escrow.
Profesa Anna Tibaijuka ambaye alitimuliwa Uwaziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi kutokana na kujipatia Sh bilioni 1.6 kutoka kwa mmiliki wa kampuni ya VIP Engineering,
↧