Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Rais Kikwete Akabidhiwa Rasmi Uenyekiti wa Jumuiya ya Africa Mashariki

Marais watano wa nchi wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki, Yoweri Museveni wa Uganda, Paul Kagame wa Rwanda, Pierre Nkurunzinza wa Burundi, Jakaya Kikwete wa Tanzania na mwenyeji wa mkutano Uhuru...

View Article


Penzi la Wema Sepetu na Ommy Dimpoz, Kumbe Dimpoz ni Boya tu Nyuma ya Pazia...

Habari ya mjini ni kwamba, lile penzi linalonadiwa la Mbongo-Fleva, Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ na mwigizaji Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ limejaa magumashi, ikidaiwa kuwa jamaa huyo kawekwa kama...

View Article


Mez B Kuzikwa Jumatatu Makaburi Ya Wahanga Dodoma

Aliyekuwa  memba wa kundi la Chamber Squad, Moses Bushagama ‘Mez B’ ambaye amefariki jana mjini Dodoma anatarajiwa kuzikwa Jumatatu katika makaburi ya Wahanga yaliopo Maili Mbili mjini Hapo.   Mtandao...

View Article

Kiongozi Wa Vijana wa JKT Waliopanga Kuandamana Atekwa na Kuokotwa Akiwa...

KIONGOZI wa vijana waliopata mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), waliokuwa wakiishinikiza Serikali kuwapatia ajira, George Mgoba, amelazwa katika Hospitali ya Amana, jijini Dar es Salaam, baada...

View Article

Bangi kavu ya kilo 50 yawatupa jela miaka 15

Mahakama ya wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa imewahukumu raia watatu kutoka Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kwenda jela miaka 15 au kulipa faini ya Sh milioni tatu kwa wote baada ya kutiwa hatiani...

View Article


Sakata la Magari 11 Yaliyotekwa na Majambazi Juzi: Vifaa vya abiria vyazagaa...

BAADHI ya vifaa vya abiria vilivyoporwa katika tukio la utekaji wa magari 11 uliofanywa na majambazi waliokuwa na silaha za jadi mkoani Manyara mwanzoni mwa wiki hii, vimekutwa vikizagaa katika maeneo...

View Article

Moto Wateketeza Maduka Tanga....Gari la Zima Moto Lanusurika Kushambuliwa

Maduka ya wafanyabiashara mbalimbali yaliyopo mtaa wa India jijini Tanga yameteketea kwa moto kwa kile kinachodaiwa kuwa imetokana na hitilafu ya umeme. Moto huo uliokuwa ukifukuta ndani katika maeneo...

View Article

Mwanamke Amkata Mpwa Wake Sehemu za Siri Huko Ruvuma

Mtu mmoja wa Kijiji cha Majimaji Ruvuma, Patrick Vitus amekatwa sehemu zake za siri  na kuachwa zikining’inia.    Ofisa Mtendaji Wa Kijiji hicho Hussein Mkali amesema Partick alikatwa sehemu zake za...

View Article


Jibu la Amber Baada ya Kanye West kusema alibidi aoge mara 30 ili kuwa na Kim...

Kwenye mahojiano na kipindi cha ‘BreakFast Club’ Kanye West alimkejeli mpenzi wake wa zamani Amber Rose kwa kusema alibidi aoge mara 30 baada ya kuwa naye ili Kim kardashian awe naye.   Kanye West...

View Article


Serikali Yasikitishwa na Uamuzi wa Vijana wa Jeshi la JKT Kutaka Kujiunga na...

SERIKALI imesema madai ya baadhi ya vijana waliohitimu katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kuruhusiwa kujiunga na vikundi vya majeshi ya nchi jirani yanayopigana ni kukosa uzalendo na uaminifu kwa...

View Article

Kim Kardashian Ajianika Mtupu Kama Alivyozaliwa

Msaanii  wa  Kike  Kim Kardashian   ambaye  ni  mke  wa  mwanamuziki  Kanye  West  na  mama  wa  mtoto  mmoja  hivi  karibuni  alikubali  kupigwa  picha  za  utupu  kama  alivyozaliwa  kwa  ajili  ya...

View Article

Askari wa JKT Wakusanyika Muhimbili Kumjulia Hali Mwenyekiti wao Aliyetekwa

Vijana mbalimbali ambao walipata mafunzo kutoka Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), leo wamekutana katika eneo la Msimbazi Center jijini Dar es Salaam, kisha kuelekea katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili...

View Article

Kiungo wa timu ya Simba SC Christopher Alex Masawe Afariki Dunia

Aliyekuwa kiungo wa timu ya Simba SC Christopher Alex Masawe amefariki dunia leo saa 3 Asubuhi katika hospitali ya Milembe mkoani Dodoma baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa mama yake mzazi...

View Article


Mwakalebela: Haitakuwa Ajabu Kuuacha Ukuu wa Wilaya

MKUU wa Wilaya mteule wa Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe, Frederick Mwakalebela amesema iwapo ushawishi na dhamira vitamtuma kuwania tena ubunge Iringa Mjini, halitakuwa jambo la ajabu kufanya...

View Article

Waziri Magufuli ‘amlilia’ mtoto albino aliyeuawa......Atoa Mchango Wa Sh....

WAZIRI wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato, Dk John Pombe Magufuli amelaani vikali tukio la kikatili la kutekwa na kuuawa kwa mtoto Yohana Bahati pamoja na kujeruhiwa vibaya kwa mama mzazi wa...

View Article


Jela Maisha kwa Kumbaka Mtoto wa Miaka Mitano na Kumwambukiza UKIMWI

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora imemhukumu kifungo cha maisha Kashindje Shija (50), baada ya kupatikana na kosa la kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka mitano.   Akisoma hukumu...

View Article

Mbatia Aikosoa Sera Mpya ya Elimu na Mafunzo ya Ifundi......Asema huo ni...

Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Taifa, James Mbatia (kulia), akionesha kitabu cha Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 wakati akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam...

View Article


JB: Rais Kikwete Tutakufa Maskini

Mwigizaji nguli na muongozaji wa filamu za Kibongo, Jacob Steven ‘JB’, amesema kuwa pamoja na kuendelea kulia juu ya kuibiwa kazi zao, anamkumbusha Rais Jakaya Kikwete kutimiza ahadi yake aliyowahi...

View Article

Johari Atubu Kumpora Ray kwa Mainda

Mrembo na mwigizaji  wa filamu, Blandina Chagula ‘Johari’ amekiri kwamba wakati anaingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na nyota wa fani hiyo, Vincent Kigosi ‘Ray’ alijua yupo na nguli wa filamu, Ruth...

View Article

Aunt Ezekiel Aporomosha Matusi Mazito

Mrembo na mwigizaji wa filamu za kibongo, Aunt ezekiel amejikuta akitoa maneno makali baada ya mashabiki wake kumshabulia kwa maneno baada ya kuweka mtandaoni picha ikimuonyesha amevalia kinguo...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>