Mwigizaji nguli na muongozaji wa filamu za Kibongo, Jacob Steven
‘JB’, amesema kuwa pamoja na kuendelea kulia juu ya kuibiwa kazi zao,
anamkumbusha Rais Jakaya Kikwete kutimiza ahadi yake aliyowahi kusema
kwenye msiba wa nguli wa filamu, Steven Kanumba kuwa atawashungulikia
wale wote wanaoiba kazi za wasanii na kutoa kopi.
JB alitoa ombi kwa uchungu ambapo alifunguka kuwa pamoja na
↧