Mrembo na mwigizaji wa filamu, Blandina Chagula ‘Johari’ amekiri
kwamba wakati anaingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na nyota wa fani
hiyo, Vincent Kigosi ‘Ray’ alijua yupo na nguli wa filamu, Ruth Suka
‘Mainda’.
Johari alikili hayo Katika mahojiano mafupi na Gazeti moja la udaku siku ya Jumanne ya wiki iliyopita jijin Dar, mahojiona yalikuwa hivi.
Mwandishi: “Kwanza napenda
↧