Oparesheni ya kuwasaka wauaji Morogoro yaanza
Jeshi la polisi mkoa wa Morogoro limeanza kufanya oparesheni ya kuwatafuta watuhumiwa waliohusika na mauaji ya watu watatu wakiwemo wakulima wawili na mfugaji mmoja, kufuatia mapigano yaliyozuka...
View ArticleKijiji Chaunganishwa na Umeme wa Kutumia Kuni
Wakazi wa kijiji cha Uchindile wilayani Ifakara mkoani Morogoro wamepata umeme unaozalishwa kwa kutumia kuni baada ya kuzinduliwa kwa mtambo wa 10kW uliotolewa na kampuni ya kimataifa ya Camco Clean...
View ArticleJKT Yawasuta Wahitimu Wanaotaka Kuandamana kudai Ajira
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limewataka vijana waliomaliza katika jeshi hilo, kutambua kuwa walikula kiapo cha utii wakati wa kuhitimu mafunzo, hivyo suala la kuandamana ni kinyume na kiapo chao....
View ArticleBaba Mzazi wa Mtoto Albino Aliyeuawa Geita Atiwa Mbaroni
Mtoto Yohana Bahati mwenye ulemavu wa ngozi (albino), aliyetekwa katika Kijiji cha Ilelema wilayani Chato katika Mkoa wa Geita, mwili wake umekutwa ukiwa umefukiwa huku umenyofolewa miguu na mikono....
View ArticlePapaa Msofe Ashindwa kutokea Mahakamani
Mfanyabiashara mashuhuri, Marijan Abubakar maarufu kama Papaa Msofe (50) anayekabiliwa na kesi ya mauaji, ameshindwa kufika mahakamani kwa kuwa anaumwa. Kesi hiyo ilitajwa katika Mahakama ya Hakimu...
View ArticleJapan Yajitosa Tatizo la Kukatikakatika Umeme Dar
Tatizo la kukatika kwa umeme katika Jiji la Dar es Salaam litakwisha baada ya Serikali ya Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo la JICA kutoa msaada wa zaidi ya Sh bilioni 66, kwa ajili ya...
View ArticleRITA Yaanza kutoa vyeti vya Kuzaliwa Kinondoni
Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), unategemea kuanza rasmi mkakati wa kuwasajili na kuwapa vyeti vya kuzaliwa wanafunzi wa shule za msingi za Manispaa ya Kinondoni na mpango huo...
View ArticleAjali ya Basi la Kidia Yaua Watu Wawili na Kujeruhi 45
Watu wawili wamekufa papo hapo huku wengine 45 wakijeruhiwa baada ya basi la abiria lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Mwanza kugongana uso kwa uso na lori katika kijiji cha Vikonje wilayani...
View ArticleMwanamke Amuua Mwanamke Mwenzake kwa Kummwagia Mafuta ya taa na Kumchoma Moto...
Mkazi wa kijiji cha Ibosa, kata ya Nyakato, Bukoba Vijijini, Amelia Richard (50) anatuhumiwa kumuua mwanamke mwenzake kwa kummwagia mafuta ya taa na kumchoma moto baada ya kumfumania na mumewe....
View ArticleWatu Wawili Wafariki Dunia Wakiiba Mafuta Kwenye Lori Lililopinduka jijini...
Takribani miaka 15 imepita tangu ilipotokea ajali katika kijiji cha Idweli wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya, iliyosababisha vifo vya watu walioungua wakichota petroli kwenye gari lililopinduka. Hata...
View ArticleWanasiasa Wahusishwa Mauaji ya Albino Nchini.....Tangu 2006 hadi sasa Albino...
Wanasiasa wamenyooshewa vidole, wakihusishwa na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi baada ya matukio hayo kuhusishwa na harakati za kuelekea katika uchaguzi mkuu. Vyama vya watu wenye ulemavu pamoja...
View ArticleUteuzi wa Paul Makonda Kuwa Mkuu wa Wilaya Wapingwa Kila Kona.....Anatuhumiwa...
Uteuzi wa Makonda ambao umefanywa na Rais Kikwete, unaonesha kuwashitua wengi; hali ambayo imefanya watu wengi kumbeza hasa kupitia mitandao ya kijamii. Baadhi ya wanaobeza, wanadai kwamba Makonda...
View ArticleMuimbaji wa Chamber Squad Mez B afariki dunia
Muimbaji wa kundi la Chamber Squad, Maze B, amefariki leo saa nne asubuhi, kwa mujibu wa mtu aliyekuwa akimuuguza. Msanii huyo aliyewahi kufanya vyema na wimbo wake ‘Fikiria’ alikuwa amelazwa...
View ArticleHospitali za Mikoa 25 Kuboreshwa
Hospitali 26 za rufaa katika mikoa 25 nchini, zitafanyiwa maboresho ili zitoe huduma bora za afya kupitia mradi wa Japan International Co-operative Agency (JICA) kwa kushirikiana na Wizara ya Afya na...
View ArticleEWURA Yapitisha Kanuni za Tozo Huduma ya Gesi
Bodi ya wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji (EWURA) imepitisha maombi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuhusu kanuni za tozo za huduma ya kuchakata na...
View ArticleClouds Media Group Wakanusha Kuuzwa kwa Rostam Aziz
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Clouds Media Group, Joseph Kusaga amesema kuwa habari zilizoenea mtaani kwamba kampuni hiyo imeuzwa ni za uzushi na kuwataka Watanzania wazipuuze. Kampuni hiyo...
View ArticleSerikali Kuajiri Walimu Wapya 35,000 Mwaka huu
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, amesema Serikali imepanga kuajiri walimu zaidi ya 35,000 kwa ajili ya shule za sekondari, ili kukabiliana na tatizo la uhaba wa walimu nchini. Alitoa kauli hiyo jana jioni...
View ArticleLowassa Azidi Kushawishiwa Atangaze Nia Ya Kuwania Urais
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, Shija Ntelezu, ameungana na baadhi ya wana CCM wengine kumuomba Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa, ajitokeze kutangaza nia...
View ArticleMkuu wa Kituo cha Polisi Ilembula Njombe Afungwa Jela Miaka 30 kwa kosa la...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa ya Njombe, imemhukumu aliyekuwa mkuu wa kituo cha Polisi Ilembula kifungo cha miaka 30 jela, baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka mtuhumiwa aliyekuwa ndani ya mahabusu....
View ArticleKoti la Wassira: Kambi ya Membe Lawamani
Tukio la takribani wiki mbili zilizopita lililofanywa na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Steven Wassira,(pichani) la kukosea kufunga vifungo vya koti lake katika mkutano wa Injili wa dhehebu la...
View Article