Hospitali 26 za rufaa katika mikoa 25 nchini, zitafanyiwa maboresho ili zitoe huduma bora za afya kupitia mradi wa Japan International Co-operative Agency (JICA) kwa kushirikiana na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
Akizungumza katika mkutano wa tathimini ya miradi mingine ya afya iliyotekelezwa, mwakilishi wa shirika la Jica, Kuniaki Amatsu alisema mpango huo umeonesha ufanisi mkubwa
↧