Muimbaji wa kundi la Chamber Squad, Maze B, amefariki leo saa nne
asubuhi, kwa mujibu wa mtu aliyekuwa akimuuguza.
Msanii huyo aliyewahi
kufanya vyema na wimbo wake ‘Fikiria’ alikuwa amelazwa katika hospitali
ya Mwananchi mjini Dodoma.
Mez B aliyezaliwa kwa jina la Moses Bushagama alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa Pneumonia.
Hivi karibuni aliongea na E-News ya EATV na
↧