Wakazi wa kijiji cha Uchindile wilayani Ifakara mkoani Morogoro wamepata umeme unaozalishwa kwa kutumia kuni baada ya kuzinduliwa kwa mtambo wa 10kW uliotolewa na kampuni ya kimataifa ya Camco Clean Energy.
Mtambo huo wenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 75 ulizinduliwa na Mwakilishi wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID), Rogness Swai katika hafla iliyohudhuriwa na wadau mbalimbali wa
↧