Jeshi
la polisi mkoa wa Morogoro limeanza kufanya oparesheni ya kuwatafuta
watuhumiwa waliohusika na mauaji ya watu watatu wakiwemo wakulima
wawili na mfugaji mmoja, kufuatia mapigano yaliyozuka kati ya wakulima
na wafugaji katika bonde la matembele linalounganisha kijiji cha
Mabwegere na Mbigiri wilayani kilosa mkoani Morogoro.
Mkuu wa wilaya ya Kilosa Elis Tarimo
↧