Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Shamariwa ‘A’, Kata ya Igoma, Wilaya ya Nyamagana, jijini Mwanza, Julias Makoye (CCM), amekutwa amejinyonga juu ya mti ulio jirani na nyumba yake usiku wa jana.
Makoye aliyetangazwa mshindi wa kiti
hicho katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Desemba 14, mwaka
jana, ameuongoza mtaa huo kwa awamu ya pili baada ya kuongoza miaka
mitano
↧