Chama cha Kutetea Abiria Tanzania (CHAKUA) Kimemtaka Waziri Sitta Aibane...
CHAMA cha Kutetea Abiria Tanzania (CHAKUA) kimewaomba Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sita kuingilia kati na kuagiza Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), isikilize kilio cha...
View ArticleMchumi wa Wizara ya Ardhi Afikishwa Mahakamani akituhumiwa Kumshika Matiti...
MCHUMI wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Brown Kajange (42) amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo kujibu mashitaka mawili, likiwamo la shambulio la aibu kwa kumshika matiti...
View ArticleBofya Hapa Ujiunge na Kliniki ya Nguvu za Kiume......Rejesha Heshima yako...
Wewe ni mwanaume ? Unakabaliwa na tatizo la ukosefu & upungufu wa nguvu za kiume ? Unaishi jijini Dar Es salaam? Unahitaji kupata tiba asilia na ya uhakika kwa ajili ya...
View ArticleBunduki Waliyoporwa Polisi na 'Magaidi wa Tanga' Yapatikana ikiwa na Risasi...
Polisi mkoani Tanga imesema imefanikiwa kupata bunduki aina ya SMG, ikiwa na risasi 20 ndani ya mapango ya Majimoto katika eneo la Amboni, inayodaiwa ilikuwa ikitumiwa na wahalifu waliorushiana...
View ArticleMajambazi yafunga mtaa jijini Mwanza na kuua mtu mmoja
Matukio ya ujambazi na mauaji ya kutumia silaha, yameanza kuibuka kwa kasi katika maeneo mbalimbali nchini. Hali hiyo imekuwa ikihojiwa na wananchi na wapenda amani na zaidi ni kuhusu intelijensia...
View ArticleMtoto Albino Aliyetekwa Aokotwa Akiwa Amekufa Mstuni
Mtoto Yohana Bahati mwenye ulemavu wa ngozi aliyepotea tarehe 15 wilayani chato amepatikana amekufa huku akiwa hana baadhi ya viungo vyake vya mwili. Mwili wa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi Yohana...
View ArticleFundi Saa Apokea Kichapo kizito Akidaiwa Kumlawiti Mtoto jijini Arusha
Mwanaume mmoja ambaye ni fundi saa maeneo ya Stendi Kuu jijini Arusha jana alipokea kipigo cha mbwa mwizi baada ya kudaiwa kumlawiti mwanafunzi wa kiume wa darasa la tatu wa shule moja jijini humo.
View ArticleChid Benz Akiri Mashitaka Yake Matatu Mahakamani......Kesi yake kusikilizwa...
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya (Bongo Fleva), Rashidi Makwiro (29), maarufu kama Chid Benz jana amekiri mahakamani mashitaka matatu yanayomkabili ya kukutwa na Dawa za kulevya aina ya Heroin yenye...
View ArticleMajina ya Wakuu wa Wilaya Wapya walioteuliwa na Rais Kikwete yako...
Paul Makonda, aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni RAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya kwa kuwateua Wakuu wapya 27, kuwahamisha vituo vya kazi 64 na wengine 42...
View ArticlePicha za Uchi: Mpenzi wa Desire Luzinda akamatwa
Franklin Emoubor, raia wa Nigerian ambaye alikuwa mpenzi wa mwanamuziki nyota wa kike nchini Uganda Desire Luzinda amekamatwa. Waziri wa Maadili wa Uganda Mchungaji Simon Lokodo, amesema kuwa...
View ArticleMzee Yusuph kuoa tena mke wa watatu,Wake zake watupiana vijembe mtandaoni
Mwimbaji mahiri wa muziki wa Taarab nchini ambaye pia ni mkurugenzi wa kundi la Jahazi Modern Taarabu,Mzee Yusuph anatarajia kuoa tena mke wa tatu hivi karibuni huku wake zake wawili wakiwa kwenye...
View ArticleKingwendu kugombea ubunge mwaka huu
Mwigizaji mkongwe wa vichekesho hapa Bongo, Rashid Mwinshehe "Kingwendu", amesema anajiandaa Kugombea Ubunge 2015 Kupitia Chama ambacho amedai Kuwa anaona Kinapendwa na Watanzania wengi bila ya Kutaja...
View ArticleKortini kwa tuhuma za kununua "Malaya wa Buguruni Rozana"
WATU wanne wamefikishwa katika Mahakama ya Jiji kwa tuhuma za kununua machangudoa katika eneo la Buguruni Rozana jijini Dar es Salaam. Watuhumiwa hao waolifikishwa Jumanne ya wiki hii katika mahakama...
View ArticleUstadh aliyelawiti mwanafunzi wake aongezewa miaka 15 jela
Mwalimu wa madrasa ya Kadiria iliyopo Amani mjini Zanzibar, Hamad Bakar Mohammed, anaetumikia kifungo cha miaka 15 jela kwa kosa la kumlawiti mwanafunzi wake wa kiume, ameongezewa adhabu nyingine ya...
View ArticleMuuza Mishikaki Maarufu Temeke Stand Apata Kichapo Baada ya Kukutwa Anauza...
Muuuza mishikaki maarufu temeke standi ya mabasi aitwaye Said mishikaki amekamatwa na nyama ya paka jana akiwa anaitengeneza kwa ajili ya Kuchoma Mishikaki.. Wananchi wenye hasira kali walimshushia...
View ArticleBalaa la Mchepuko: Mume wa mtu Aumbuka......Baada ya fumanizi Apewa kichapo...
Mwanaume aliyetambulika kwa jina moja la Joseph amejikuta akiaibika vikali kufuatia kudaiwa kunaswa akiwa na mwanamke mwingine ilhali yeye ni mume wa mwanamke aitwaye Sophia. Kwa mujibu wa mashuhuda,...
View ArticleLady Jaydee: Sina mtoto wala watoto, Sijawahi toa Kizazi ili Nifanikiwe Kifedha
Lady Jaydee ameendelea kujibu maswali ya mashabiki wake kupitia Instagram, na maswali mengine aliyokutana nayo ni kuhusu kama ana mtoto au ameasili mtoto ambaye huonekana kwenye kipindi chake cha...
View ArticlePicha ya Wema Sepetu Aliyojibinua Tako Yazua Balaa, Wengi Wamtaka Aache...
Nimepitia ukurasa wa Malkia wa Insta nikakutana na Picha hiyo ya Wema Akiwa ameegemea gari aliyopewa kama zawadi na Martin Kadinda siku ya Birthday yake huku akiwa amekibinua cha chini ya mgogo .....
View ArticleUgaidi Tanga: Wasomali Wawili Watiwa Mbaroni
JESHI la Polisi nchini kwa kushirikiana na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), limewatia mbaroni watuhumiwa wawili wanaodaiwa kuwa na asili ya Somalia katika msako unaoendelea dhidi ya kundi la...
View ArticleMwenyekiti wa Serikali ya Mtaa jijini Mwanza Ajinyonga
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Shamariwa ‘A’, Kata ya Igoma, Wilaya ya Nyamagana, jijini Mwanza, Julias Makoye (CCM), amekutwa amejinyonga juu ya mti ulio jirani na nyumba yake usiku wa jana....
View Article