Mtoto Yohana Bahati mwenye ulemavu wa ngozi aliyepotea tarehe 15
wilayani chato amepatikana amekufa huku akiwa hana baadhi ya viungo
vyake vya mwili.
Mwili
wa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi Yohana Bahati aliyetekwa siku tatu
zilizopita, umepatikana ukiwa umekatwa miguu na mikono yote na
kiwiliwili chake kufukiwa shambani katika kitongoji cha mapinduzi kijiji
cha Rumasa ndani ya
↧