Matukio ya ujambazi na mauaji ya kutumia silaha, yameanza kuibuka kwa kasi katika maeneo mbalimbali nchini.
Hali
hiyo imekuwa ikihojiwa na wananchi na wapenda amani na zaidi ni kuhusu
intelijensia ya polisi kushindwa kugundua mipango ya uhalifu.
Wachunguzi
wa mambo wanasema kuwa kushamiri kwa matukio hayo kunaleta hofu katika
jamii huku jamii yenyewe ikilaumiwa kwa kukaa kimya
↧