Mwanaume mmoja ambaye ni fundi
saa maeneo ya Stendi Kuu jijini Arusha jana alipokea kipigo cha mbwa
mwizi baada ya kudaiwa kumlawiti mwanafunzi wa kiume wa darasa la tatu
wa shule moja jijini humo.
↧