Mwalimu wa madrasa ya Kadiria iliyopo
Amani mjini Zanzibar, Hamad Bakar Mohammed, anaetumikia kifungo cha miaka 15
jela kwa kosa la kumlawiti mwanafunzi
wake wa kiume, ameongezewa adhabu nyingine ya miaka 15 jela na Mahakama ya
Rufaa Tanzania.
Hukumu hiyo ilikuja baada
mshitakiwa huyo kupinga kifungo cha miaka 15 alichopewa na Mahakama Kuu
Zanzibar baada ya upande wa mashtaka kupinga
↧