Paul Makonda, aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni
RAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya kwa
kuwateua Wakuu wapya 27, kuwahamisha vituo vya kazi 64 na wengine 42
amewabakisha kwenye vituo vyao vya kazi vya zamani.
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa OWM TAMISEMI jana mchana (Jumatano, Februari 18, 2015) Waziri Mkuu Mizengo Pinda
↧