Franklin Emoubor, raia wa Nigerian ambaye alikuwa mpenzi wa mwanamuziki nyota wa kike nchini Uganda Desire Luzinda amekamatwa.
Waziri
wa Maadili wa Uganda Mchungaji Simon Lokodo, amesema kuwa Mnaigeria
huyo amekamatwa na kikosi cha polisi cha kimataifa cha Interpol.
Hata hivyo waziri huyo hakueleza iwapo Emoubor anayedaiwa kusambaza mtandaoni picha za utupu za Desire, amekamatwa
↧