Nimepitia ukurasa wa Malkia wa Insta nikakutana na Picha hiyo ya Wema
Akiwa ameegemea gari aliyopewa kama zawadi na Martin Kadinda siku ya
Birthday yake huku akiwa amekibinua cha chini ya mgogo ..
Baadhi ya watu
wamemsifia na wengine kujaribu kumshauri.Soma Comments hapo chini
kutoka ukurasa huo:
dicksonmgesy
Jaman tumpe chachu ya maendeleo sio kumsifia zari hana tako ila ana
↧