JESHI la Polisi nchini kwa kushirikiana na Jeshi la Wananchi Tanzania
(JWTZ), limewatia mbaroni watuhumiwa wawili wanaodaiwa kuwa na asili ya
Somalia katika msako unaoendelea dhidi ya kundi la wahalifu wa silaha
mkoani Tanga.
Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Jeshi la Polisi mjini hapa,
kimeiambia Mpekuzi kuwa watu hao walikamatwa jana saa 5 asubuhi katika
eneo la Kijiji cha
↧