Wanafunzi Waliofaulu Darasa la Saba Watakiwa Kuripoti Kabla ya March 28
Serikali imeagiza wakuu wote wa mikoa, kuweka mikakati ya kuhakikisha watoto wote waliofaulu mitihani ya darasa la saba, wanajiunga na shule za sekondari katika kipindi hiki kabla ya Machi 28 mwaka...
View ArticleCCM Yakana Kuandaa Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Mjini
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Arusha, imesema chama hicho hakina mgombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, aliyeandaliwa hadi sasa. Kimesema mgombea mwenye sifa za kulikomboa jimbo hilo, ambalo...
View ArticleWahitimu wa JKT Watangaza kufanya Maandamano ya Siku tatu Mfululizo jijini...
Vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), wanatarajia kufanya maandamano ya siku tatu mfululizo usiku na mchana jijini Dar es Salaam kuanzia Jumatatu ijayo, kushinikiza kuonana na...
View ArticleDawa Zilizopigwa MARUFUKU Zazagaa Mitaani....Wananchi Wataka TFDA Ichue hatua...
Licha ya Mamlaka ya Chakula, Dawa na Vipodozi (TFDA) kufuta usajili na kupiga marufuku uuzaji wa dawa duni, zenye madhara na zisizofaa kwa matumizi ya binadamu, dawa hizo zimegundulika kuuzwa holela...
View ArticleCUF Yaitikisa UKAWA......Yatangaza Profesa Lipumba Atawania Urais Mwaka huu
Chama cha Wananchi (CUF) kimetangaza Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba, kuwa ni mmoja kati ya wanachama wa chama hicho, atakayewania nafasi ya Urais. Pia chama hicho, kimetoa...
View ArticleShule za Vipaji Maalumu zashindwa KUFURUKUTA katika Matokeo ya Kidato cha Nne
Shule za sekondari za Serikali zinazochukua watoto wenye vipaji, zimeshindwa kung'aa kwenye matokeo ya kidato cha nne 2014 huku shule ya Ilboru ya mjini Arusha ikiwa ni shule ya kwanza ya Serikali na...
View ArticleMapambano Makali Bado Yanaendelea Kuwasaka MAGAIDI wa Tanga.....Hii ni Video...
Kutokana na wahalifu wanaopambana na polisi na Jeshi la Wananchi (JWTZ) kutokamatwa, hali ya wasiwasi imeendelea miongoni mwa wakazi wa mjini hapa. Sasa wananchi hao wameiomba Polisi kutoa tamko,...
View ArticleMungu ni Mkubwa: Mama yake Diamond Arejeshwa toka India......Afya yake kwa...
Mungu ni mkubwa :Mama mzazi wa Supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’, amerejeshwa Bongo kutoka India ambapo afya yake imetengemaa. Habari kutoka chanzo cha...
View ArticleMamia wamzika Baba Mzazi wa Dully Sykes, Mzee Abby Sykes Jijini Dar
Baba wa staa wa muziki Dully Sykes, Marehemu Abby Sykes aliyefariki dunia juzi katika hospitali ya taifa Muhimbili amezikwa jana katika makaburi ya Kisutu Jijini Dar es Salaam. Msiba huo mkubwa katika...
View ArticleBuzwagi Kusitisha Uchimbaji wa Dhahabu
Kampuni ya Acacia inayomiliki mgodi wa dhahabu wa Buzwagi mkoani Shinyanga, imesema ndani ya miaka miwili, itasitisha shughuli za uchimbaji na uzalishaji madini hayo, kutokana na soko kuzidi kushuka....
View ArticleWatu 50 Waliohusika na Vurugu za Geita Wakamatwa.....Mkuu wa Wilaya Aagiza...
Zaidi ya watu 50 wamekamatwa na jeshi la polisi kufuatia vurugu kubwa iliyotokea katika mji wa katoro mkoani Geita. Chanzo cha vurugu hizo ni mgomo wa wanafunzi wa shule za msingi kilimani, Mkapa na...
View ArticleAjira 40,735 Zazalishwa Ndani ya Miezi Mitatu
Ajira 40,735 zimezalishwa ndani ya miezi mitatu kuanzia Oktoba hadi Desemba mwaka jana na kufanya jumla ya ajira 173,787 kupatikana kwa kipindi cha nusu mwaka kuanzia Julai hadi Desemba mwaka jana....
View ArticleAnaswa Akiwa na Lundo la Vyeti Feki
Mtu anayetuhumiwa kwa utapeli, amekamatwa wilayani Hanang’ mkoani Manyara akidaiwa kuwa na vyeti bandia vitatu vya ajira tofauti akidai ni mwalimu, ofisa mifugo na polisi. Mtuhumiwa huyo, Hamis Yusufu...
View ArticleKesi ya Ugaidi: Kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, iliimarisha ulinzi wakati kesi ya ugaidi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), Shekhe Farid Hadi Ahmed...
View ArticleRais Kikwete aongoza maziko ya Chifu Abdul Mkwawa ambapo Mwanafunzi wa Miaka...
Mwanafunzi wa Darasa la Saba, Adam Abdul Sapi (13) ametawazwa kuwa Chifu mpya wa Wahehe, akirithi nafasi ya baba yake, aliyefariki na kuzikwa mkoani Iringa. Rais Jakaya Kikwete alishiriki maziko ya...
View ArticleWaziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta Amsimamisha Kazi Kaimu Mkurugenzi wa...
Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Madeni Kipande kutokana na kile kilichoelezwa kuwa uendeshaji mbovu wa utoaji wa zabuni....
View Article'Magaidi wa Tanga' Watiwa Mbaroni.....Mwili wa Mwanajeshi wa JWTZ Aliyeuawa...
Serikali imetoa taarifa rasmi kuhusu uhalifu uliotikisa mkoani Tanga, ikisema hali ni shwari na umma wa Watanzania upuuze taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikitia hofu. Aidha, imesema...
View ArticleMama wa mtoto albino aliyetekwa Geita azungumza alivyojeruhiwa na kuporwa...
MAMA wa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Yojana Bahati (1), Ester Thomas aliyelazwa katika hospitali ya Bugando akipatiwa matibabu baada ya kujeruhiwa, ameelezea jinsi alivyovamiwa na watu...
View ArticleWanafunzi Wanaoshindwa Kulipa ADA Wasifukuzwe Shule
WAKUU wa shule za sekondari wilayani Namtumbo, wamepigwa marufuku kuwafukuza wanafunzi ambao wanashindwa kulipa ada na michango mingine kwa kuwa inawasababisha watoto kupoteza muda wao mwingi wa...
View ArticleAshitakiwa kwa Kumtia Vidole Sehemu za Siri Mtoto wa Miaka Minne
MKAZI wa Bangulo Hali ya Hewa, Baraka Benson (30) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, akikabiliwa na mashitaka ya kumnajisi mtoto wa miaka minne. Benson alifikishwa mahakamani...
View Article