Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Apandishwa Kizimbani kwa Rushwa
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imewapandisha mahakamani Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Evarista Kalalu na wakurugenzi wawili kwa makosa mawili yanayohusiana na rushwa kinyume na...
View ArticleUandikishaji Wapiga Kura kwa BVR Wasogezwa Mbele......Utaanza Februari 23
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema katika majaribio ya uandikishaji wananchi kwenye daftari la kudumu la wapiga kura, mfumo mpya wa uandikishaji wa 'Biometric Voter Registration Kit' (BVR),...
View ArticleMshindi wa Tweet ya Reginald Mengi Atangazwa na Kukabidhiwa Milioni 10 Zake
Mshindi wa Sh milioni 10 katika shindano la wazo bora la biashara linaloendeshwa na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi kupitia kwenye mtandao wa kijamii wa twitter ametangazwa na...
View ArticleRay C Amtibua Baba Mwenye Nyumba.....Ni baada ya mkataba wake Kuisha kisha...
Inadaiwa kuwa kimenuka kati ya msanii Rehema Chalamila ‘Ray C’ na baba mwenye nyumba wake, Hussein Kassim baada ya mdada huyo kudaiwa kugoma kutoa vyombo vyake kwenye mgahawa aliopangishwa na mkataba...
View ArticleUpelelezi Kesi ya Wafuasi wa CUF Bado kukamilika
Upelelezi wa kesi ya kutotii amri halali ya polisi na kufanya mkusanyiko usio halali inayowakabili wafuasi 30 wa Chama cha Wananchi (CUF) haujakamilika. Wakili wa Serikali Joseph Maugo alidai hayo...
View ArticleAlama za Ufaulu Zatesa Wamiliki wa Shule Binafsi
Siku chache baada ya Serikali kusema itazifutia usajili shule zitakazokaidi agizo la kuweka viwango maalumu na tofauti vya ufaulu kutoka kidato kimoja kwenda kingine, wadau wa elimu wamezungumza na...
View ArticleAskari Apigwa Chupa Usoni wakati wa VITA Kati ya Polisi na Bodaboda Dar
Askari wa Jeshi la Polisi amejeruhiwa na madereva wa pikipiki maarufu kama bodaboda katika fujo zilizoibuka juzi jioni katika eneo la Mzinga, Kongowe Mbagala nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam katika...
View ArticleKesi ya Mauaji ya Daudi Mwangosi : Shahidi aeleza Walivyotekeleza Agizo la...
Kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa kituo cha runinga cha Chanel ten, Daudi Mwangosi inayomkabili askari polisi, Pacificus Cleophace, jana ilianza kusikilizwa katika Mahakama Kuu Kanda...
View ArticleCCM watakiwa kuacha Siasa za VITISHO maana Hakuna Mtu Mwenye Hatimiliki ndani...
MJUMBE wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Khamis Mgeja, amewataka baadhi ya viongozi wa chama hicho kuheshimu haki za wanachama na kuacha siasa za kibabe na kibaguzi kwa kuchunga...
View Article[VIDEO] Huyu ndo Kiongozi wa Kikundi cha Kigaidi Kinachoua Polisi na Kuiba...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu Hatimaye kuvamiwa kwa vituo vya polisi na kuporwa silaha huku askari wake wakiuawa kikatili kumejulikana kunafanywa na nani kufuatia gazeti la Ijumaa...
View ArticleJe, kwa Hili JB na Kampuni Yake ya Jerusalem Wameteleza Au ndo SWAGA Zenyewe?
Haya ni maoni ya mwanasheria kijana, Alberto Msando kuhusu makosa ya uandishi wa lugha ya kingereza kwenye kasha la filamu ya Mzee wa Swaga, iliyotengenezwa na kampuni ya Jerusalem, inayomilikiwa na...
View ArticleLipumba Asitisha Maandamano ya Vijana wa CUF
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba leo amewasihi Jumuiya ya Vijana wa CUF(JUVICUF) kusitisha maandamano kama jeshi la polisi lilivyoagiza . Akizungumza leo...
View ArticleUmeme Washuka Bei......Bei Mpya Kuanza kutumika Machi Mosi mwaka huu
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imeshusha kidogo bei ya umeme kuanzia Machi Mosi mwaka huu, huku ikisisitiza kwamba bei hiyo itaendelea kupungua zaidi mradi wa bomba la gesi...
View ArticleGadner alitongoza na kuwashika makalio wanawake mbele yangu – Lady Jaydee
Wiki hii Lady Jaydee amewapa nafasi mashabiki wake kumuuliza maswali naye kuyajibu kupitia akaunti yake ya Instagram. Ameulizwa maswali mengi, na miongoni mwa maswali hayo ni la kuhusu ndoa yake na...
View ArticleRais Kikwete Afuta ADA ya shule za Sekondari Nchi Nzima
HATIMAYE Rais Jakaya Kikwete ametimiza ahadi yake aliyoitoa Agosti mwaka jana katika Chuo Kikuu cha Mzumbe cha Morogoro, kwamba amekusudia kufuta ada ya shule za sekondari nchi nzima. Akizindua Sera...
View ArticleMatokeo Form Four: Shule 10 Bora kwa Ufaulu na Shule 10 za Mwisho ziko hapa
Katibu Mtedaji wa Baraza la Mitihani la Taifa Dk Charles Msonde ametangaza matokeo ya mitihani ya Shule za Sekondari ya Kidato cha Nne ya mwaka jana na kusema, kiwango cha ufaulu kimeongezeka kwa...
View ArticleWatahiniwa 10 waliofanya vizuri Katika Matokeo ya Kidato cha nne
Katibu Mtedaji wa Baraza la Mitihani la Taifa Dk Charles Msonde ametangaza matokeo ya mitihani ya Shule za Sekondari ya Kidato cha Nne ya mwaka jana na kusema, kiwango cha ufaulu kimeongezeka kwa...
View ArticleKikundi cha Magaidi kilichoko Tanga Chajeruhi Polisi Wanne na Kuua Mwanajeshi...
Askari sita wakiwemo wanne wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wamejeruhiwa vibaya kwa risasi wakati wa mapigano baina yao na watu wanaodhaniwa kuwa ni wahalifu wakati wa Msako Maalum wa kutafuta...
View ArticleMatokeo ya Kidato cha Nne na QT 2014
Ili kuona matokeo ya CSEE, bofya <> Na kwa matokeo ya QT, bofya <> Jumla ya Watahiniwa 196,805 sawa na 68.33% ya watahiniwa wote waliofanya mtihani kidato cha IV mwaka 2014 wamefaulu...
View ArticleMoto Wateketeza Maduka eneo la Kibangu, Ubungo jijini Dar es Salaam
Moto mkubwa uliozuka eneo la Kibangu, Ubungo jijini Dar es Salaam umeteketeza viwanda vya kusaga plastiki, kuchomelea, useremala na kuunguza maduka mawili ya karibu pamoja na vibanda vingine vya...
View Article