Ili kuona matokeo ya CSEE, bofya <>
Na kwa matokeo ya QT, bofya <>
Jumla ya Watahiniwa 196,805 sawa na 68.33% ya watahiniwa wote
waliofanya mtihani kidato cha IV mwaka 2014 wamefaulu ikiwa ni ongezeko
la 10.08% kulinganisha na mwaka 2013 ambapo wanafunzi 235227 sawa na
58.25 walifualu.
Akitangaza matokeo ya Kidato cha Nne ya mwaka 2014 leo jijini
↧