Moto mkubwa uliozuka eneo la Kibangu, Ubungo jijini Dar es Salaam
umeteketeza viwanda vya kusaga plastiki, kuchomelea, useremala na
kuunguza maduka mawili ya karibu pamoja na vibanda vingine vya biashara
eneo hilo.
Watu walioshuhudia moto huo wamesema
moto ulianzia katika kiwanda cha plastiki na baadaye kusambaa maeneo
mengine huku wakilaumu kikosi cha zimamoto kuchelewa kufika
↧