Serikali imeagiza wakuu wote wa mikoa, kuweka mikakati ya kuhakikisha watoto wote waliofaulu mitihani ya darasa la saba, wanajiunga na shule za sekondari katika kipindi hiki kabla ya Machi 28 mwaka huu, vinginevyo watakaokwamisha watoto hao watachukuliwa hatua kali.
Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri MkuuTawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia
↧