Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Arusha, imesema chama hicho hakina mgombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, aliyeandaliwa hadi sasa.
Kimesema mgombea mwenye sifa za kulikomboa jimbo hilo, ambalo liko Chadema, hajajitokeza mpaka sasa.
Akizungumza na Mpekuzi, Katibu wa CCM wa Wilaya ya Arusha ,Feruzi Banno alisema chama kina utaratibu wake wa kampeni na chama hakina mgombea
↧