Mwanaume Ajinyonga hadi Kufa kwa Gauni la Mkewe Kisa kikiwa ni Wivu wa Mapenzi
MKAZI wa kijiji cha Nyakabanga kata ya Butelankuzi, Bukoba vijijini, Eliud Charles (30) anadaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kutumia gauni la mkewe, Velidiana Eliud kutokana na wivu wa mapenzi....
View ArticleUngekuwa wewe Ungefanyaje??....Jamaa anamtaka Kimapenzi Mchumba wa mtu kisa...
Hii story nimekuta inajadiliwa sehemu flani, nikaona si mbaya nikusogezee na wewe mdau.Jamaa anasema alikuwa Lodge na mpenzi wake wamejipumzisha. Kama unavyojua mambo ya Lodge,...
View ArticleWawili Wafariki Dunia Baada ya Kufunikwa na Kifusi Wakichimba Vito Tanga
Wakazi wawili wa kata ya Kigongoi wilayani Mkinga, wamekufa papo hapo baada ya kufukiwa na kifusi cha udongo walipokuwa wakichimba madini aina ya vito. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Juma...
View ArticleZabuni ya Ujenzi wa Barabara za Juu Kutangazwa Mwezi Ujao
Zabuni ya ujenzi wa barabara za juu jijini Dar es Salaam inatarajiwa kutangazwa mwezi ujao. Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli alitoa taarifa hiyo wakati wa hafla ambayo serikali ya Japan ilitia...
View ArticleOmbi la Maranda wa EPA Kusikilizwa Februari 18
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Februari 18, mwaka huu kusikiliza ombi la kwenda kutibiwa nchini India, lililowasilishwa na mshitakiwa wa kesi ya wizi wa Sh milioni 207 katika Benki Kuu (BoT)...
View ArticleKituo cha Televisheni cha EATV na East Africa Radio Chazindua kampeni ya...
Kituo cha Televisheni cha EATV na kituo chake cha East Africa Radio wameandaa kampeni maalumu itakayojulikana kama Zamu yako 2015 kwa ajili ya kuwakumbusha na kuwaelimisha vijana umuhimu pamoja na...
View ArticleWafanyabiashara Mwanza Wafunga Maduka tena
Maelfu ya wakazi wa jiji la Mwanza kwa mara nyingine tena, wameendelea kuonja adha ya migomo, ambapo jana wafanyabiashara zaidi ya 600 wenye maduka makubwa na ya kati yaliyopo katika mitaa mbalimbali...
View ArticleWakulima wa Miwa Mvomero Waandamana Kudai Malipo
Jeshi la polisi wilayani Mvomero mkoani Morogoro limezuia maandamano ya wakulima wa miwa Turiani waliotaka kuandamana kwa lengo la kulalamikia kiwanda cha Mtibwa kushindwa kulipa madeni yao kwa muda...
View ArticleMwanasheria Mkuu wa Serikali Asema Ratiba ya Mchakato wa Katiba iko Palepale
Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju amesisitiza kuwa mchakato wa Katiba mpya unaendelea vizuri na kwamba muda uliopo unatosha kwa ajili ya zoezi la kampemi pamoja na kupiga kura ya maoni....
View ArticleSakata la Escrow: Mwanasheria wa TANESCO Abadilishiwa Kesi
Mwanasheria Mwandamizi wa Tanesco, Steven Urassa amefutiwa mashitaka ya kupokea sehemu ya fedha zilizokuwa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow na kusomewa mashitaka ya kupokea rushwa ya Sh milioni 161.7....
View ArticleAjiandalia MAZIKO Kwa Miaka 14 sasa Mkoani Rukwa
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mkazi wa mjini Namanyere mkoa wa Rukwa, Gilbert Paul (37) aliyejiandalia maziko yake miaka 14 iliyopita, bado yu hai. Kwa sasa mtu huyo ameanza maandalizi ya...
View ArticleMkazi wa Mwanza Ajishindia Bajaji ya 6 ya Promosheni ya Tutoke na Serengeti
Bajaji ya sita ya kampeni ya Tutoke na Serengeti, safari hii itaelekea mkoani Mwanza baada ya bwana. Ramadhan Abubakar kutangazwa kuwa mshindi wa Limo Bajaj, kufuatia ushiriki wake yakinifu tangu...
View ArticleTAKUKURU Yaapa Kutoacha Mtu Sakata la Escrow
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema kuwa haikurupuki katika kuwashughulikia na kuwafikisha mahakamani viongozi wanaotuhumiwa kujipatia fedha kutoka kwenye akaunti ya Tegeta...
View ArticleSerikali Yaiagiza TANESCO Kushusha bei ya Umeme....SUMATRA nao Waagizwa...
Baada ya kushuka kwa bei ya mafuta nchini, wakati wowote kuanzia leo Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) linatarajiwa kutangaza bei mpya za umeme ambazo zitakuwa na unafuu kwa wananchi. Kutangazwa kwa...
View ArticleBaada ya Kukosea Kufunga Vifungo vya Suti, Wassira Aamua Kumtafuta Sheria...
BAADA ya kuandamwa sana katika mitandao ya kijamii kuhusu kutofunga vizuri vifungo vya suti yake, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhe. Stephen Wasira ameamua kumuona mbunifu wa mavazi wa...
View ArticleBatuli Afunguka Kuhusu Mambo ya Chumbani na Nguo za Ndani Anazopendelea Kuvaa
STAA wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ amefungukia mambo yake ya chumbani na kuanika kuwa anapenda kuvaa kufuli zenye rangi tofauti. Akizungumza na Gpl, Batuli ambaye anaendelea kufanya...
View ArticleJe, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa...
Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa dawa mbalimbali za asili. Tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa tunayo dawa nzuri ya asili inatibu na kuponyesha...
View ArticleKova Apiga MARUFUKU Maandamano ya Vijana wa CUF
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imepiga marufuku maandamano ya Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Wananchi (JUVICUF) kutokana na kile ilichosema yana lengo la kusababisha uvunjifu wa amani....
View ArticleMkuu wa Wilaya Awapiga Marufuku Waganga Watoa UCHAWI
MKUU wa Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma Betty Mkwasa amepiga marufuku shughuli zote za waganga wa kutoa uchawi maarufu kama lambalamba. Alisema sasa itaandaliwa amri halali na akisikia kijiji kina...
View ArticleSerikali Kuachana na Nguzo za Umeme za Miti
SERIKALI imesema inaendeleza jitihada za kuachana na matumizi ya nguzo za umeme za miti, badala yake itatumia nguzo za zege ikiwa ni hatua mojawapo ya kuboresha huduma ya usambazaji na upatikanaji wa...
View Article