Kituo cha Televisheni cha EATV na kituo chake cha East Africa Radio wameandaa kampeni maalumu itakayojulikana kama Zamu yako 2015 kwa ajili ya kuwakumbusha na kuwaelimisha vijana umuhimu pamoja na uwezo walionao katika kufanya maamuzi sahihi kwenye masuala makubwa ya kitaifa yanayohusu siasa.
Akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Mkuu wa Vipindi wa
↧