Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Februari 18, mwaka huu kusikiliza ombi la kwenda kutibiwa nchini India, lililowasilishwa na mshitakiwa wa kesi ya wizi wa Sh milioni 207 katika Benki Kuu (BoT) kupitia Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) Rajab Maranda.
Kesi hiyo ilitajwa kwa ajili ya kusikiliza ombi hilo lakini Hakimu Mkazi Frank Moshi, aliahirisha kwa kuwa jopo la mahakimu wanaosikiliza
↧