Zabuni ya ujenzi wa barabara za juu jijini Dar es Salaam inatarajiwa kutangazwa mwezi ujao.
Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli alitoa taarifa hiyo wakati wa hafla ambayo serikali ya Japan ilitia saini mkataba wa kusaidia serikali fedha za ununuzi wa magari ya kubebea wagonjwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na mashine ya kukamulia mafuta ya alizeti wilayani Chato.
Ingawa Magufuli
↧