Maelfu
ya wakazi wa jiji la Mwanza kwa mara nyingine tena, wameendelea kuonja
adha ya migomo, ambapo jana wafanyabiashara zaidi ya 600 wenye maduka
makubwa na ya kati yaliyopo katika mitaa mbalimbali ya jiji hilo
wameamua kufunga maduka yao na kuisababishia serikali hasara ya
mamilioni ya shilingi.
Mgomo huo wa maduka ambao ulitangazwa kufanyika Februari 11 mwaka huu
na viongozi wa
↧