Jeshi la polisi wilayani Mvomero mkoani Morogoro limezuia maandamano ya
wakulima wa miwa Turiani waliotaka kuandamana kwa lengo la kulalamikia
kiwanda cha Mtibwa kushindwa kulipa madeni yao kwa muda mrefu.
Wakizungumza
kwa jazba wakulima hao wakiwemo wazee wamesema hawaoni sababu ya jeshi
la polisi wakiwa na silaha kuwazuia kufanya maandamano ya kudai haki yao
kwani ni muda mrefu
↧