Mwanasheria
Mkuu wa Serikali George Masaju amesisitiza kuwa mchakato wa Katiba
mpya unaendelea vizuri na kwamba muda uliopo unatosha kwa ajili ya zoezi
la kampemi pamoja na kupiga kura ya maoni.
Akizungumza katika mahojiano muda mfupi baada ya kukutana na wahariri
wa vyombo vya habari, Mwanasheria Mkuu Masaju amewataka wananchi
kuondoa hofu juu ya uwezekano wa kufanyika kwa kura ya
↧