Mabweni ya Shule ya sekondari Idodi Jimboni kwa Lukuvi Yateketea kwa Moto TENA
BWENI la wanafunzi wa shule ya sekondari ya Idodi iliyoko Jimbo la Isimani Wilaya ya Iringa Vijijini Mkoani Iringa, limeteketea kwa moto na kusababisha hasara ya mamilioni ya shilingi, ikiwa ni miaka...
View ArticleMtuhumiwa sakata la Escrow kizimbani leo
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo inatarajia kumsomea maelezo ya awali Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa Mujunangoma anayekabiliwa na kesi ya...
View ArticleUchaguzi Mkuu 2015: Polisi yaapa Kukabiliana na Vurugu za Aina...
JESHI la Polisi mkoani Ruvuma limeahidi kuwa limejipanga vizuri, kukabiliana na vurugu na matukio ya kihuni kuelekea uchaguzi mkuu, utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Hayo yalisemwa na Kamanda wa...
View ArticleBaba Amuunguza Mdomo Mwanae kisa Kadokoa Maharage
Vitendo vya kikatili na unyanyasaji wa Wanawake na watoto vinaendelea kushika kasi licha ya Serikali na mashirika mbalimbali ya haki za Binadamu kupiga vita vitendo hivyo kwa nguvu . Hali hiyo...
View ArticleShinyanga Yaendelea Kulia na Ukosefu wa Maji.....Hizi ni Picha za Wakazi wake...
WAKAZI wa manispaa ya Shinyanga na viunga vyake, wameendelea kuteseka kwa kukosa maji safi na salama kwa mfululizo wa siku nne sasa, baada ya mitambo ya kusukuma maji kutoka chanzo cha ziwa Victoria...
View ArticleMatokeo ya Kidato cha Nnne ( Form four ) Kutangazwa Jumapili ya Wiki Hii
Matokeo ya mitihani ya kidato cha nne nchini ya mwaka 2014, yanatarajiwa kutangazwa na Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), Jumapili wiki hii. Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Charles Msonde (pichani),...
View ArticleCHADEMA: Hatutakubali Kura Zetu ziibiwe tena.....Mbowe Azindua Mafunzo ya...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kimejipanga kuhakikisha katika uchaguzi Mkuu hawaibiwi kura. Kauli hiyo ilitolewa jana na Mwenyekiti wa chama hicho, Freemon Mbowe wakati...
View ArticleMtoto wa Miaka 6 Abakwa na Kunyongwa Porini
MKAZI wa Kijiji cha Mayaka, Kata ya Minyughe, Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida, Samaha Mtawa (6) amekufa baada kubakwa na kunyongwa wakati akichuma matunda porini. Akizungumzia tukio hilo, Kamanda...
View ArticleHizi ni picha zinazoonyesha Jengo la ghorofa tatu la Shirika la Nyumba la...
Moto Mkubwa umezuka mapema leo kwenye moja ya nyumba za Jengo la ghorofa tatu la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lililopo Mtaa wa Moscow na Libya eneo la Posta Jijini Dar es Salaam na kuteketeza...
View ArticleSauda Mwilima Ayaanika Maziwa Yake
Mtangazaji wa kituo kimoja cha runinga nchini, Sauda Mwilima ‘Mwarabu wa Kigoma’ juzikati alionekana akiwa ameachia nido zake ukumbini. Tukio hilo lilitokea katika Ukumbi wa Escape One, jijini Dar...
View ArticlePicha za Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kimahaba Kitandani zilipigwa Usiku...
Zile picha za mahaba zilizosambaa kwenye mitandao zikimuonyesha Staa wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kitandani zimezidi kuzua utata baada ya Ommy kusema hakujua alipigwa saa ngapi...
View ArticleSuti ya Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mh Steven Wassira Yageuka...
Suti ya Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mh Steven Wassira imegeuka gumzo mtandaoni baada ya kukosewa kufungwa vifungo vyake..... Wassira alionekana ndani ya vazi hilo wakati wa...
View ArticleUagizaji Mafuta kwa Pamoja Kuokoa Mabilioni
Tanzania inatarajia kuokoa mabilioni ya fedha kutokana na kuanza kutekeleza mfumo wa uagizaji mafuta kwa pamoja na kwa kiasi kikubwa. Hayo yalibainishwa Dar es Salaam jana na Naibu Waziri wa Nishati...
View ArticleKesi ya Sheikh Ponda Kusikilizwa tena Februari 16
Kesi inayomkabili kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini Shehe Ponda Issa Ponda jana imeahirishwa hadi Februari 16, mwaka huu kwa mashahidi wa upande wa mashitaka kuendelea kutoa ushahidi...
View ArticleAfisa Mtendaji Atandikwa Makofi Hadharani
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Halima Dendegu ** OFISA Mtendaji wa kijiji cha Lumesule, Kata ya Lumesule, wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara, Swalehe Daimu, anadaiwa kupigwa na mkazi wa kijiji hicho, kwa madai...
View ArticleTanzania Yasikitishwa na Uamuzi wa Kenya wa kuzuia magari ya kitalii ya...
Serikali imeelezea kusikitishwa na uamuzi wa Kenya wa kuzuia magari ya kitalii ya Tanzania kwenda kuchukua na kushusha watalii wanaotumia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, kwa kusema kuwa...
View ArticleWashitakiwa wa Kesi ya Dk Sengondo Mvungi waomba Kusikilizwa
Washitakiwa wa kesi ya mauaji ya mjumbe wa Tume ya Taifa ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Sengondo Mvungi wameiomba Mahakama iwape haki ya kuwasikiliza. Waliwasilisha ombi hilo jana katika Mahakama ya...
View ArticleMwalimu Apandishwa Kizimbani kwa Kupora Mume wa Mtu
MWALIMU wa Shule ya Msingi Manga katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida, Mary Majilanga amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Utemini, mjini Singida kujibu shitaka la kukamatwa ugoni ....
View ArticleSimanzi Yatawala Wakati wa Mazishi wa Ndugu Sita wa Familia Moja Walioteketea...
Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal jana aliwaongoza mamia ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, kuzika miili ya watu sita wa familia moja waliokufa katika ajali ya moto wakiwa nyumbani kwao...
View ArticleBabu Amlawiti Mjukuu Wake wa Kike.....Amhonga sh.2000 ili Asitoe Siri
POLISI wilayani Masasi mkoani Mtwara inamshikilia mkazi wa kijiji cha Maili Sita kata ya Mtandi, Daudi Pilipili (44) kwa tuhuma za kumlawiti mjukuu wake wa kike mwenye umri wa 13. Mkuu wa Polisi...
View Article