Kesi inayomkabili kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini Shehe Ponda Issa Ponda jana imeahirishwa hadi Februari 16, mwaka huu kwa mashahidi wa upande wa mashitaka kuendelea kutoa ushahidi mahakamani.
Tayari mashahidi saba wa upande huo wameshatoa ushahidi wao mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro, akiwemo aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo, Faustine
↧