Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Uagizaji Mafuta kwa Pamoja Kuokoa Mabilioni

$
0
0
Tanzania inatarajia kuokoa mabilioni ya fedha kutokana na kuanza kutekeleza mfumo wa uagizaji mafuta kwa pamoja na kwa kiasi kikubwa. Hayo yalibainishwa Dar es Salaam jana na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage alipofungua programu ya mafunzo maalumu ya wajasiriamali wanaoagiza nishati ya mafuta, yaliyoandaliwa na First National Bank (FNB).   Mafunzo hayo yanahusu namna

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles