MWALIMU wa Shule ya Msingi Manga katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida, Mary Majilanga amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Utemini, mjini Singida kujibu shitaka la kukamatwa ugoni .
Katika kesi hiyo ya madai namba 8 ya mwaka huu, mshitakiwa Mary anatakiwa kulipa Sh milioni 8 za ugoni kwa kuishi kama mume na mke na mwalimu mstaafu, Julius Magandi ambaye imeelezwa ni mume
↧