Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal jana aliwaongoza mamia ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, kuzika miili ya watu sita wa familia moja waliokufa katika ajali ya moto wakiwa nyumbani kwao Kipunguni, Manispaa ya Ilala usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita.
Katika maziko hayo yaliyofanyika makaburi ya Airwing yaliyopo Ukonga Banana, ibada ya maziko iliongozwa na Askofu Msaidizi wa Kanisa
↧