Moto
Mkubwa umezuka mapema leo kwenye moja ya nyumba za Jengo la ghorofa tatu la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lililopo Mtaa wa Moscow na Libya eneo la Posta Jijini Dar es Salaam na kuteketeza mali kadhaa.
Chanzo cha
moto huo bado hakijafahamika rasmi.Jeshi la Polisi liliwahi kufika eneo la
tukio kuhakikisha amani na utulivu vinakuwepo huku magari ya zimamoto
nayo yakiendelea
↧