BWENI la wanafunzi wa shule ya sekondari ya Idodi iliyoko Jimbo la Isimani Wilaya ya Iringa Vijijini Mkoani Iringa, limeteketea kwa moto na kusababisha hasara ya mamilioni ya shilingi, ikiwa ni miaka sita tu tangu bweni hilo liungue na kusababisha hasara kubwa na vifo vya wanafunzi 13.
Agosti 25, 2009 bweni la shule hiyo, liliwaka moto na kusababisha vifo vya wanafunzi wa kike 13, ambao
↧