SUMATRA Yawapa Somo Wamiliki wa Mabasi ya Masafa Marefu
Mamlaka ya Udhibiti Usafirishaji wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), imewanoa wamiliki wa mabasi ya masafa marefu kuhusu usimamizi na udhibiti wa sekta ya usafiri wa barabara ili wazaidie kupunguza na...
View ArticleWaafrika Waadhimisha Mwaka Mpya wa Kichina
Waafrika wanaoishi na kusoma jijini hapa, wameshiriki na wenyeji katika sherehe za mwaka mpya wa China (Spring Festival) unaoadhimishwa kwa wiki moja kuanzia Februari 19 mwaka huu. Walisherehekea...
View ArticleBaba Afikishwa Mahakamani kwa Tuhuma za Kumlawiti Mtoto wake wa Kumzaa
MKAZI wa mtaa wa Migongo kata ya Migongo Halmashauri ya Mji wa Masasi mkoani Mtwara, Hajili Mpili (52) amepandishwa kizimbani katika mahakama ya wilaya ya Masasi kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wake wa...
View ArticleViongozi wa Dini Waaswa kutotumia MAKANISA Yao kunadi Wagombea
VIONGOZI wa madhehebu mbalimbali ya dini nchini wametakiwa kuacha tabia ya kuwakumbatia na kuwanadi baadhi ya wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi mbele ya waumini wao kwa kutumia nyumba za ibada....
View ArticleSheria Mpya ya Vibali vya Ajira YAJA
Wizara ya Kazi na Ajira iko katika mchakato wa kuandaa Sheria mpya ya utoaji wa vibali vya ajira kwa wageni ili kudhibiti kuajiriwa kwa wageni ili kufanya kazi ambazo Watanzania wenyewe wanaweza...
View ArticleTuzo nyingine aliyoshinda Diamond Platnumz kutoka Uganda.
Tuzo nyingine kutoka Uganda imekabidhiwa kwa Diamond Platnumz, ni tuzo za Hiphop Music za nchini Uganda. Kwenye kipengele hiki Diamond alikuwa anawani tuzo hii na wasanii kutoka Kenya, Uganda, na...
View ArticleMbasha: Simtambui mtoto wa Flora
Baada ya mchungaji maarufu nchini, Gwajima kukanusha kuwa si baba wa mtoto wa Flora Mbasha, mume wa muimbaji huyo wa muziki wa injili, Emmanuel naye amesema hatambui chochote kuhusu kuzaliwa kwa mtoto...
View ArticleLady Jaydee ajibu Kwanini hafanyi collabo na wasanii wa kike, na kama ana...
Lady Jaydee ametoa nafasi kwa mashabiki na followers wake wa Instagram kumuuliza maswali na kuahidi kuyajibu. Miongoni mwa maswali mengi aliyoulizwa ni pamaoja na kwanini hafanyi collabo na wasanii wa...
View Article"CCM ijiandae kuunda Serikali ya mseto".....Kuna uwezekano Mkubwa Wabunge...
Wapo wastaafu wengi wa Serikali ambao wanafuatilia kwa karibu nyenendo za siasa nchini, mmoja wapo ni Kanali Mstaafu Edmund Mjengwa (68) ambaye amekitahadharisha chama cha CCM kwamba kijiandae kwa...
View ArticleAjali ya Moto iliyoua watu Sita wa Familia Moja Kipunguni - Dar yaibua Mapya
Waombolezaji kwenye msiba uliotokana na ajali ya moto ulioteketeza watu sita wa familia moja, wamelaumu Kikosi cha Zimamoto cha Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa kushindwa kufika kwa wakati...
View ArticleWaziri Mkuu azindua Mpango wa Kitaifa wa Kukuza Stadi za Kusoma, Kuandika na...
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amezindua Mpango wa Kitaifa wa Kukuza Stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) unaolenga kukuza viwango vya uelewa kwa watoto wa darasa la kwanza na la pili kwa nchi...
View ArticleWastara Awacharukia Wanao Mtukana Mumewe Mitandaoni...
Msanii mkongwe katika gemu la filamu Bongo, Wastara Juma ameapa kumshtaki mtu atakayemkamata kutokana na baadhi ya mashabiki kuwa na tabia ya kumtukana matusi ya nguoni mtandaoni huku wakimhusisha na...
View ArticlePicha za Uchi za Nay wa Mitego zamtesa Mchumba wake
Picha za ngono zilizozagaa katika mitandao ya kijamii za Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, zikimuonesha akifanya ufuska na mrembo chumbani zimemliza mchumba’ke, Siwema ambaye...
View ArticleWasaka Urais Vijana: Utafiti Wamng'arisha Mwigulu Nchemba akifuatiwa na Zitto...
Shirika la Utafiti wa Maendeleo ya Elimu (TEDRO), limesema katika utafiti walioufanya kuhusu ushiriki wa vijana katika siasa na matarajio kuelekea uchaguzi mkuu 2015, umeonesha kwamba endapo mgombea...
View ArticleWabunge 150 Wambeba Lowassa mbio za Urais......Wakutana Dodoma, wamshawishi...
Mbio za kuusaka urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), zimezidi kupamba moto baada ya kundi la wabunge wapatao 150 kujitokeza hadharani na kueleza kumuunga mkono mmoja wa wanaotajwa kuwa wagombea,...
View ArticleMwanafunzi Aliyebakwa na Polisi Adaiwa Kutoroshwa ili Kufisha Ushahidi
MWANAFUNZI wa kidato cha pili mwenye umri wa miaka 15 anayedaiwa kubakwa na askari wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga, usiku wa kuamkia Januari 6 mwaka huu, ametoweka katika mazingira ya kutatanisha....
View ArticleSakata la Mugabe Kuanguka: Maafisa Usalama wa Taifa 27 Wafukuzwa kazi kwa...
Hii bado ni habari ambayo imeendelea kukaa kwenye headlines....Siku chache zimepita tangu Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe aanguke kwenye ngazi akiwa anashuka baada ya kuhutubia wananchi na wanachama...
View Article"Mimba My Foot"... Mashabiki wa Zari (Mpenzi wa Diamond ) Wamvaa Wema Sepetu...
Wema Sepetu anahisi ujauzito wa Zari The Boss Lady ni geresha tu, hakuna lolote! Hii ni kwa mujibu wa picha inayoonekana kuwa iliwekwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Miss Tanzania huyo wa mwaka 2006...
View ArticleDaftari la Wapiga Kura Kuanza Kuboreshwa Wiki Ijayo.....Watanzania washauriwa...
SASA ni rasmi kwamba kazi ya kuliboresha Daftari la Kudumu la Wapigakura nchini kote, itaanza Jumatatu ijayo Februari 16 na kumalizika Aprili 29 mwaka huu. Uandikishaji huo utaanzia katika mikoa ya...
View ArticleVideo Yatumika Kutoa Ushahidi katika Kesi ya Sheikh Ponda
UPANDE wa Mashikata kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shehe Ponda Issa Ponda umewasilisha ushahidi muhimu wa mkanda wa video unaodaiwa kuonesha uhalisia wa tukio...
View Article