Baada ya
mchungaji maarufu nchini, Gwajima kukanusha kuwa si baba wa mtoto wa
Flora Mbasha, mume wa muimbaji huyo wa muziki wa injili, Emmanuel naye
amesema hatambui chochote kuhusu kuzaliwa kwa mtoto huyo.
Mbasha ambaye pia ni muimbaji wa muziki huo amesema ana mtoto mmoja
mwenye umri wa miaka kumi na kwamba taarifa za kuwa Flora amejifungua
anazisikia kama watu wengine.
“Nina
↧