Waombolezaji kwenye msiba uliotokana na ajali ya moto
ulioteketeza watu sita wa familia moja, wamelaumu Kikosi cha Zimamoto
cha Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa kushindwa kufika kwa wakati
eneo la tukio.
Juzi familia ya watu sita ya Mzee David Mpira na
mkewe Celina, iliteketea kwa moto ikijumuisha Lucas Mpira, Samwel
Yegela, Pauline Emmanuel na Celina Emmanuel. Chanzo cha
↧